28 Agosti 2012 - 13:16

Kitabu chenye anuani “Kipindi cha dhahabu cha Jumuiya ya NAM” kusambazwa katika Kikao cha Mawaziri wa Jumuiya ya NAM.

Ripoti ya shirika la habari laAhlul Bayt(as)-ABNA- Kusambazwa Kitabu “Historia ya kipindi cha dhahabu ya Jumuiya ya NAM” katika Kikao cha Mawaziri wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote.

Kitabu hicho kiliandaliwa na Jamuhuri ya Kiislam, Kimefikisha ujumbe wa Wanachana wa NAM kunako mada ya Nyuklia ya Iran kuanzia mwaka 2003-2012.

Kitabu hiki kitasambazwa karibuni katika Mkutano wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Upande Wowote.